Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ahadi za matunda ya uhuru hazijatimizwa kwa wazawa Namibia:

Ahadi za matunda ya uhuru hazijatimizwa kwa wazawa Namibia:

Watu wa asili au wazawa nchini Namibia wanaojumuisha kabila la San na Himba wanaendelea kutofaidika na kutengwa ikiwa ni zaidi ya miaka 20 tangu taifa hilo kujinyakulia uhuru. Hayo yamesemwa na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wazawa kana inavyofafanua ripoti ya Jason Nyakundi.

(RIPOTI YA JASON NYAKUND