Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu 50,000 wahama makwao kutokana na mapigano kwenye jimbo la Darfur

Watu 50,000 wahama makwao kutokana na mapigano kwenye jimbo la Darfur

UNHCR inasema kuwa wakimbizi hao wanahitaji huduma za kibinadamu kwa kuwa hivi sasa wamepiga kambi kwenye eneo lililo umbali wa kilomita 200 kutoka kwa ofisi ya UNHCR.Melisa Fleming kutoka UNHCR anasema kuwa idadi ya wakimbizi inatarajiwa kuongezeka siku zinazokuja wakati mapigano yanapoendelea kuchacha.

(SAUTI YA MELISSA)

Tangu mwaka 2003 zaidi ya watu 300,000 wamevuka mpaka na kuingia taifa jirani Chad.