Kuelekea kikomo cha malengo ya milenia, Tanzania yapiga hatua dhidi ya Maleria.

5 Aprili 2013

Zikiwa zimesalia takribani siku 1000 kabla ya kikomo cha malengo ya

Milenia mwaka 2015, Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa mapambano

dhidi ya magonjwa imepiga hatua katika kutokomeza ugonjwa wa Malaria

unaotajwa kusababisha vifo kadhaa huku idadi kubwa ikiwa watoto walio

chini ya umri wa miaka miatano.

Ungana na George Njogopa katika makala inayoangazia juhudi hizo.