Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shughuli maalumu za kuchagiza amani zazileta pamoja jamii za Sudan Kusini:IOM

Shughuli maalumu za kuchagiza amani zazileta pamoja jamii za Sudan Kusini:IOM

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM linaendesha shughuli maalumu za kuchagiza amani Sudan Kusini. Lengo ni kuzileta pamoja jamii za taifa hilo ili kushirikiana na kutumia pamoja rasilimali zilizopo wakati huu ambapo machafuko ya kijamii yanaendelea. Jumbe Omari Jumbe msemaji wa IOM anafafanua zaidi:

(SAUTI YA JUMBE OMARI JUMBE)