Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yabaini faida ya kuondosha mafuta kwenye vyakula

WHO yabaini faida ya kuondosha mafuta kwenye vyakula

Kupigwa marufuku aina ya mafuta yaitwayo transfats kuandalia vyakula, kumeelezwa kuwa mojawapo wa njia mwafaka zaidi kukabiliana na baadhi ya magonjwa tishio duniani, lakini pamoja na tija hiyo bado serikali nyingi zimeshindwa kuzingatia hilo.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)