Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Indonesia yatakiwa kusitisha hukumu ya kifo

Serikali ya Indonesia yatakiwa kusitisha hukumu ya kifo

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hukumu ya kifo Christof Heyns Alhamisi ameitaka serikali yaIndonesia kudhibiti utekelezaji wa hukumu ya kifo katika kutekeleza wajibu wake wa kimataifa.

Tamko hilo limekuja baada ya  taarifa kwamba nchi hiyo imetekeleza hukumu ya kwanza ya kifo dhidi ya bwana Adanmi Wilson tangu Novemba 2008 licha ya ombi la Umoja wa mataifa na jumuiya ya kijamii kutotekeleza hukumu hiyo.

(SAUTI YA GEORGE NJOFOPA)