Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano kuhusu hadhi ya wanawake wamalizika New York, Marekani

Mkutano kuhusu hadhi ya wanawake wamalizika New York, Marekani

Makala yetu inaangazia mkutano wa hadhi ya wanawake uliomalizika leo Ijumaa Machi 15, katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini NewYork. Mkutano huo uliowakutanisha pamoja wanaharakati wa haki za wanawake pamoja na wawakilishi wa serikali na asasi za kiraia zinazopinga ukatili wa jinsia, ulijikita katika ukatili kwa wanawake na wasichana kwa kuangalia athari zake na namna ya kutokomeza ukatili uhuo. Ungana na Joseph Msami ili ufahamu undani wa  yale yaliyojiri na matarajio ya wanawake katika kuleta mabadiliko.

 

(PCKG- Msami)