Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Prince Charles atembelea kambi ya wakimbizi wa Syria nchini Jordan

Prince Charles atembelea kambi ya wakimbizi wa Syria nchini Jordan

Mwanaufalme wa Uingereza, Prince Charles amepongeza kazi inayofanywa na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR na washirika wake katika kusaidia maelfu ya wakimbizi wa Syria walio nchini Jordan. Ametoa pongezi hizo alipoitembea kambi moja iliyo kwenye mpaka wa Syria na Jordan kama anavyoelezea Jason Nyakundi.

(SAUTI YA JASON)