Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sheria zipo lakini hazijitoshelezi: UN Women Tanzania

Sheria zipo lakini hazijitoshelezi: UN Women Tanzania

Nchini Tanzania, afisa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake, UN-Women, Fortunata Temu ametaja ukatili wa majumbani kuwa miongoni mwa ukatili unaomkumba mwanamke wa kitanzania ambapo unahusisha vipigo, kutukanwa na kunyanyaswa. Amesema sheria zipo lakini hazitoshelezi.

(SAUTI  Fortunata)