2 Machi 2013
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, limesema linaweka mikakati ya kujiandaa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Kenya, siku chache kabla ya uchaguzi nchini humo hapo Jumatatu.
Ungana na Jumbe Omari Jumbe wa IOM akizungumza kuhusu suala hilo.