Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Simu za mkononi zatumika kuboresha sekta ya ufugaji nchini Kenya: FAO

Simu za mkononi zatumika kuboresha sekta ya ufugaji nchini Kenya: FAO

Wakulima na madaktari wa mifugo kote barani Afrika kwa sasa wanatumia kwa wingi simu za mkononi kutoa tahadahri kuhusu mikurupuko ya magonjwa mapema zaidi na pia wakati wa kampeni za utoaji wa chanjo za mifugo. Sualahilolimefanya mawasiliano kuwa ya haraka na huduma kutolewa kwa njia iliyo rahisi na ya haraka. Taarifa zaidi na Alice Kariuki.