Zaidi ya watu bilioni 1 wanaishi katika nchi zenye migogoro duniani: ESCAP

27 Februari 2013

Wakati malengo ya Millenia yakikaribia kufikia kikomo chake mwaka 2015,zaidi ya watu bilioni moja na nusu wanaishi katika mizozo mbalimbali nchini mwao.

Akifungua konagamano katika mji mkuu wa Timor kuhusu maendeleo ya kimataifa Kwa mujibuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa aliye pia Katibu  wa Tume ya maswala ya Uchumi na Kijamii kwenye maeneo ya Asia na Pasific DK NOELEEN HEYZER  sauti, changamoto na vipaumbele vya watu ahao wanaoshi katika jamii za migogoro zinapaswa kusikika wakati wa mkutano wa agenda za maendeleo ma 2015 .

(SAUTI YA  DK NOELEEN)

Mkutano huo unafanyika chini ya uenyeji wa seriakali ya Timor Leste kwa ufadhili wa Tume ya maswala ya Uchumi na Kijamii kwenye maeneo ya Asia na Pasific