Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM na Polisi Tanzania waimarisha utetezi wa haki za watoto na wanawake

UM na Polisi Tanzania waimarisha utetezi wa haki za watoto na wanawake

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN-WOMEN kwa kushirkiana na jeshi la polisi nchini Tanzania wamezindua dawati maalum la masuala ya jinsia na watoto ambalo litamulika na kufuatialia vitendo vya unyanyasaji kwa wanawake na watoto.

Adolfina Chialo ni Kamishna msaidizi wa polisi anayesimamia dawati hilo la jinsia.

(SAUTI YA ADOLFINA)