Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yaungana na Sandbox Global kupiga vita njaa Syria

WFP yaungana na Sandbox Global kupiga vita njaa Syria

Mashabiki wa mitindo ya mavazi na washiriki wa michezo ya bahati nasibu kwenye Intaneti wamebuni mchakato mpya wa kulisaidia Shirika la Mpango wa Chakula, (WFP) katika operesheni zake za dharura nchini Syria. Mchakato huo utaambatana na mchezo wa Stylista kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook, ambao ulibuniwa na kampuni ya dijitali ya Sandbox Global, yenye makao yake mjini Bangkok, Thailand. Joseph Msami na taarifa zaidi…

(TAARIFA YA JOSEPH)