Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burundi yapaza sauti kutetea wanawake

Burundi yapaza sauti kutetea wanawake

Burundi nayo imejumuika na mataifa mengine katika kampeni hiyo ambapo SERUKA ambacho ni kituo pekee cha kupokea wanawake waathirika wa vitendo vya ukatili ikiwemo wa kingono na majumbani kilikuwa mstari wa mbele. Mmoja wa washiriki ni Yvone kutoka eneo la Songa mjini Bujumbura.

(SAUTI YVONE)

Kwa upande wake Lysie ambaye naye alikuwepo kwenye kituo hicho anaelezea ukatili wa kingono aliofanyiwa.

(SAUTI LYSIE)

Takwimu za kituo cha Seruka nchini Burundi, kinaonyesha kuwa kila mwezi kinapokea wanawake 120 wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia wengi wao kwa sasa wakiwa ni watoto.