Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa kimataifa wa vijana wakamilika Nairobi

Mkutano wa kimataifa wa vijana wakamilika Nairobi

Mkutano wa kimataifa wa vijana ambao umedumu kwa muda wa juma moja umekamilika kwenye makao  ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi nchini Kenya. Washiriki walijadili masuala ya chakula na mazingira ikiwemo utupaji wa chakula wakati watu wengi wana uhaba wa chakula. Taarifa zaidi na Jason Nyakundi.

(SAUTI JASON)