Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haki za binadamu hazitambui mpaka: Pillay

Haki za binadamu hazitambui mpaka: Pillay

Kamishna wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Navi Pillay, amesisitiza haja ya kuingilia kati kutafutia ufumbuzi mambo yanayohusu haki za za binadamu kwenye eneo la Trinistran huko barani Ulaya, kufuatia ripoti moja iliyochapishwa leo kuhusu haki za binadamu kwenye eneo hilo.

Akisisitiza juu ya hilo, Pillay amesema kuwa suala la haki za binadamu halina mipaka.Amesema ustawi wa haki za binadamu unapaswa kushughulikiwa hata kama eneo hilo la Trinistran linaweka kinga ya kijiographia ama hadhi ya kisheria. Taarifa kamili na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)