Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yaanza kutoa huduma za maji na usafi katika kambi ya Doro Sudan Kusini

IOM yaanza kutoa huduma za maji na usafi katika kambi ya Doro Sudan Kusini

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeanzisha shughuli za kuimarisha hali ya maji na usafi katika kambi ya Doro iliopo Jimbo ya Upper Nile Sudan Kusini ili kukabiliana na mlipuko wa ujonjwa wa ini wa aina ya Hepatitis E. Wizara ya afya ilitanzaga kuzuka kwa ugonjwa huu katika kambi tatu Sudan Kusini mnamo mwezi September 2012. Msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe amezungumza na idhaa hii kuhusu suala hili.

(SAUTI YA JUMBE OMARI JUMBE)