Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Angola yatangaza kuchangia kwenye mfuko wa Africa Solidarity Trust Fund

Angola yatangaza kuchangia kwenye mfuko wa Africa Solidarity Trust Fund

Taifa la Angola limesema kuwa litatoa mchango wake kwa mfuko wa Africa Solidarity Trust, kwa minajili ya jitihada za kuangamiza njaa barani Afrika.

Rais José Eduardo Dos Santos alitoa tangazo hilo kwenye mkutano uliofanyika mjini Luanda, na ambao ulihudhjuria pia na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO, José Graziano da Silva. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(TAARIFA YA JASON NYAKUNDI)