Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Sudan, waasi wa JEM waanza tena mazungumzo Doha

Serikali ya Sudan, waasi wa JEM waanza tena mazungumzo Doha

Serikali ya Sudan na waasi wa kundi JEM wameanza tena mazungumzo huko Doha, Qatar ya kumaliza mzozo baina yao huku pande zote zikiahidi kuheshimu majadiliano hayo.

Mazungumzo hayo yanafanyika chini ya usimamizi wa Naibu Waziri Mkuu wa Qatar Ahmed Bin Abdullah Al-Mahmoud, na Kaimu Mkuu ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa huko Darfur, UNAMID Aichatou Mindaoudou. Taarifa zaidi na George Njogopa:

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)