Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jitihada za Burundi kutokomeza umaskini zatiwa shime

Jitihada za Burundi kutokomeza umaskini zatiwa shime

Jitihada za Burundi kutokomeza umaskini zatiwa shime

Umoja wa Mataifa umeipatia Burundi dola Milioni 600 kwa ajili kusaidia mpango wa nchi hiyo kupambana na umasikini baada ya taifa hilo kukumbwa na vita vya zaidi ya muongo mzima.

Fedha hizo pamoja na mambo mengine zitasaidia kuimarisha maandalizi ya uchaguzi mkuu na utawala bora nchini humo.Ramadhani Kibuga na taarifa kamili.

(SAUTI YA RAMADHAN KIBUGA)