Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhaba wa chakula wapungua Afrika Mashariki

Uhaba wa chakula wapungua Afrika Mashariki

Hali ya upatikanaji chakula katika eneo la Afrika Mashariki imeimarika na wasiwasi uliokuwa ulikumba eneo hilo wa umetoweka, kufuatia mavuno mazuri yaliyoanza kupatikana katika msimu wa mwezi Octoba mwaka 2012.

Lakini hata hivyo mafanikio hayo hayajaondoa wasiwasi wa moja kwa moja juu ua uwekezakano wa kushudua ukosefu wa chakula katika baadhi ya maeneo. Inakadiriwa kwamba kiasi cha watu zaidi ya milioni 14.9 watakabiliwa na tatizo la ukosefu wa chakula. George Njogopa na taarifa zaidi.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)