Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya watoto 1.3 nchini Yemen wameajiriwa: ILO

Zaidi ya watoto 1.3 nchini Yemen wameajiriwa: ILO

Zaidi ya watoto milioni 1.3 nchini Yemen wanashirikishwa kwenye ajira za watoto ambapo kati yao takribani Laki Tano wana umri wa kati ya miak a469,000 walio umri wa kati ya miaka 5-11, na hiyo ni kwa mujibu wa utafiti mpya wa Shirika la kazi duniani ILO.

Hii ina maana kwamba asilimia 17 ya watoto milioni 7.7 nchini Yemen kati ya miaka 5-17 na asilimia 11 kati ya miaka 5-11 wanashirikishwa kwenye ajira za watoto. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)