Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Malawi isimamie marekebisho ya kiuchumi: IMF

Malawi isimamie marekebisho ya kiuchumi: IMF

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la fedha ulimwenguni IMF, Christine Lagarde amewataka wananchi wa Malawi kuendelea kutekelezwa mageuzi magumu ya kiuchumi yaliyopendekezwa na shirika hilo ambayo yanapigwa na idadi kubwa ya wananchi. Lagarde ametoa wito huo wakati akikamilisha ziara yake ya siku tatu. Taarifa zaidi na George Njogopa:

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)