Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nuru yatua kwa wakimbizi wa Rwanda huko Pakistani

Nuru yatua kwa wakimbizi wa Rwanda huko Pakistani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeanza mpango wa kuwarejesha kwa hiari yao makwao kwa wakimbizi wa Rwanda walioko Pakistani. Wakimbizi hao ni wale walioingia nchini humo kwa shughuli mbali mbali ikiwemo masomo kama vilakini walishindwa kurejea nyumbani kutokana na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994. Taarifa zaidi na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)