Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuimarisha amani nchini Somalia ni changamoto kubwa: Balozi Mahiga

Kuimarisha amani nchini Somalia ni changamoto kubwa: Balozi Mahiga

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Balozi Augustine Mahiga amesema bado kuna changamoto kubwa kufanikisha amani ya kudumu nchini Somalia na kwamba ndoto ianyotarajiwa ni nchi hiyo kuwa salama, ustawi na amani ndani yake na kati yake na jirani zaike. Taarifa zaidi na Alice Kariuki:

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)