Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mengi yalitimizwa mwaka 2012: WHO

Mengi yalitimizwa mwaka 2012: WHO

Shirika la afya duniani WHO limefanya tathmini ya kazi yake mwaka 2012 hasa jitihada za kukabiliana na magonjwa likisema kuwa mengi yalitimizwa mwaka huu ikiwemo kukomesha kusambaa kwa ugonjwa wa kupooza nchini India na kutimizwa kwa lengo la maendeleo ya Milenia la maji ya kunywa kabla ya muda wa mwisho. Taarifa kamili na Monica Morara.

(SAUTI YA MONICA MORARA)