Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makao makuu ya serikali ya mtaa yaibua mzozo Sudan Kusini, Wanawake na watoto wakimbia: UNMISS

Makao makuu ya serikali ya mtaa yaibua mzozo Sudan Kusini, Wanawake na watoto wakimbia: UNMISS

Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini, UNMISS kimesema hivi sasa kinatoa hifadhi kwa raia wengi wao wanawake na watoto ambao wamekimbia mji wa WAU ulioko jimbo la Bahr el-Ghazal kutokana na mzozo juu ya makao makuu ya serikali ya mtaa.

Jason Nyakundi ameandaa taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)