Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Enzi za ujira mdogo China zaanza kutoweka: ILO

Enzi za ujira mdogo China zaanza kutoweka: ILO

Kiwango cha malipo ya ujira nchini China kimeongezeka mara tatu kati ya mwaka 2000 na 2010 na hivyo kuonyesha dalili za uwezekano wa kuanza kutoweka kwa dhana iliyozoeleka ya ujira mdogo miongoni mwa wachina.

Ripoti ya mwaka huu ya ILO kuhusu malipo ya ujira imejumuisha viwango vya ujira katika mashiriak ya kiserikali na makampuni madogo na ya kati ambako kote kiwanco cha mshahara kinaonekana kuongezeka.Taarifa zaidi na Monica Morara.

(SAUTI YA MONICA MORARA)