Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO kizindua ripoti kuhusu ugonjwa wa Malaria Jumatatu hii

WHO kizindua ripoti kuhusu ugonjwa wa Malaria Jumatatu hii

Shirika afya duniani WHO Jumatatu hii linatarajiwa kuzindua ripoti kuhusu ugonjwa wa Malaria duniani. Ripoti hiyo inaangazia jitihada zinazondelea za kupambana na ugonjwa wa Malaria na athari za kupungua kwa ufadhili kwenye vita dhidi ya ugonjwa huo.

Ripoti hiyo pia inaonyesha hatua zilizopigwa katika kutimizwa kwa lengo la kupunguza ugonjwa wa Malaria kote dunaini kwa asilimia 75 ifikapo mwaka 2015. Glenn Thomas ni msemaji wa WHO.