Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Israel isitishe mpango wa ujenzi wa makazi mapya Jerusalem Mashariki: Ban

Israel isitishe mpango wa ujenzi wa makazi mapya Jerusalem Mashariki: Ban

Mpango wa Israel wa kujenga makazi mapya Elfu Tatu huko Jerusalem Mashariki na sehemu zingine za Ukingo wa Magharibi mwa mto Jordan umeripotiwa kumsikitisha na kumkatisha tamaa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, na hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wake. Taarifa zaidi na Monica Morara.

(SAUTI YA MONICA MORARA)