Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi wa Burundi washukuru UM kwa kujenga amani nchini mwao

Wananchi wa Burundi washukuru UM kwa kujenga amani nchini mwao

Maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa yamefanyika sehemu mbali mbali duniani ikifahamika kuwa Umoja huo ulioanzishwa mwaka 1945 una wanachama 193 na miongoni mwa wanachama hao ni Burundi ambako sherehe zimefanyika kwenye mji mkuu Bujumbura na wananchi kutoa maoni yao juu ya nafasi ya Umoja huo katika kujenga amani.

Mwandishi wetu Ramadhani Kabuga kutoka Maziwa Makuu alikuwa na haya:

(SAUTI YA RAMADHANI KABUGA)