Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yaadhimisha miaka 20 ya siku ya afya ya akili duniani

WHO yaadhimisha miaka 20 ya siku ya afya ya akili duniani

Huku siku ya kimataifa ya afya ya akili ikiaadhimishwa tarehe kumi mwezi huu shirika la afya duniani linatoa wito wa kumwalizwa kwa unyanyapaa na usumbufu wa akili ana kutaka kuwepo matibabu kwa watu wote wanaoyahitaji.

Duniani kote zaidi ya watu milioni 350 wamedhoofika kiakili hali inayowazuia kufanya mambo yao kwa njia inayohitajika. Lakini kutokana na unyanyapaa uliopo wengi hushindwa kukubali kuwa wao ni wagonjwa na hivyo hukosa kutafuta matibabu. Hali hii humfanya mtu kuwa na hisia za kuhusunika kwa juma moja au mawili ambapo yeyote anayeonekana kuwa na dalili kama hizo huwa anastahili kupewa usaidizi hasa kumtafutia matibabu.

(SAUTI YA DR SHEKAR SAXENA)