Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kumaliza umaskini ni jambo linalostahili kushughulikiwa duniani kote:Sepulvena

Kumaliza umaskini ni jambo linalostahili kushughulikiwa duniani kote:Sepulvena

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu umaskini uliopindukia Magdalena Sepulvena ameyataka mataifa kutumia mipango ya muda mrefu kuhusu umaskini na haki za binadamu uliopitishwa na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

Sepulvena amesema kuwa mipango hiyo inapitishia baada ya hatua ya mataifa ya kutambua kuwa uamaski ni suala la kibinadamu linalohitaji mikakati kabambe kwenye viwango vya kitaifa na kimataifa. George njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)