Rais wa Iran atoa wito wa kufanywa mabadiliko katika UM

26 Septemba 2012

Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Iran ametoa wito kiwepo kile anachokiita "ushirika wa wote katika usimamizi wa kimataifa."

Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu leo Jumatano, Rais Ahmedinajad amesema watu kutoka kila mahali wameoyesha kutoridhika kwao na mpango wa sasa wa kimataifa.

Akizungumza kupitia mkalimali, ametoaa mapendekezo kuhusu siku za mbeleni, yakiwemo kuufanyia mabadiliko Umoja wa Mataifa.

(SAUTI YA RAIS WA IRAN)

UM Hauna ufanisi wa kuleta mabadiliko yanayohitajika.Ikiendelea hivi mataifa yatapoteza imani katika mifumo ya kimataifa ya kutetea haki zao. Kama UM hautafanyiwa mabadiliko, uhusiano wa kimataifa na moyo wa ushirikiano wa kimataifa utadhoofishwa, na heshima ya Umoja wa Mataifa kuharibiwa."

Amesema:CLIP

Kulingana na rais huyu , haki ya veto katika baraza la Usalama imechangia katika kuleta ugumu wa kutetea haki za mataifa yote.

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter