Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuna matumaini nchini Somalia:Bari

Kuna matumaini nchini Somalia:Bari

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Somalia Shamsul Bari amesema kuwa kuna matumani nchini Somalia hata kama kunaendelea kushuhudiwa ghasia.

Barabara ya kumaliza mabadiliko nchini Somalia inaelekea kukamilika ambapo kipindi kipya na muhimu cha mabadiliko ya kisiasa yakiwemko ya kuundwa kwa katiba mpya na kuchaguliwa kwa bunge jipya. Chanagamoto iliyopo sasa ni kubuniwa upya kwa idara za sheria ambazo hazijakuwepo kwa muda wa miongo miwili. Joshua Mmali na taarifa kamili

(SAUTI YA JOSHUA MMALI)