Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mshindi wa Uandishi wa Hotuba ya Katibu Mkuu

Mshindi wa Uandishi wa Hotuba ya Katibu Mkuu

Katika mfululizo wetu wa kukudondolea yanayohusiana na mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, leo tunamsikiliza Wallace Chwala, mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya.

Walace ni mshindi wa uandishi wa hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, katika shindano liloandaliwa na Taasisi ya Brookins kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa. Ameiambia Radio ya Umoja wa Mataifa ni nini angependa kuona kinafanyika katika Umoja wa Mataifa, kama kijana.

(SAUTI YA WALLACE CHWALA)