Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uongozi wa Kisheria nchini Burundi

Uongozi wa Kisheria nchini Burundi

Miongoni mwa mambo yanayojadiliwa na viongozi kwenye mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni suala la Uongozi wa Kisheria, hasa katika mataifa yanayojikwamua kutoka kwenye misukosuko.

Katika muktadha wa kuangazia hilo, mwandishi wetu wa Maziwa Makuu Ramadhan Kibuga anatumegea kidogo kuhusu uongozi wa kisheria katika taifa la Burundi.

(SAUTI YA RAMADHAN KIBUGA)