Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la UM

Mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la UM

Na katika muktadha wa Mkutano wa 67 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, tunakudondolea baadhi ya mambo muhimu yanayojadiliwa hapa kila siku.

Mbali na mkutano kuhusu Uongozi wa Kisheria, nishati endelevu kwa wote na nafasi ya wanawake katika uongozi, leo swala la ugonjwa wa saratani au kansa miongoni mwa wanawake linajadiliwa.

Je, tatizo hili ni kubwa kiasi gani? Mama huyu kutoka Tanzania anatupa picha kuhusu tatizo na uwezo wa kulidhibiti, hasa katika maeneo ya vijijini

(SAUTI YA .....)