Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu wa WFP azuru Uholanzo ambayo ni mfadhili mkubwa wa shirika hilo

Mkuu wa WFP azuru Uholanzo ambayo ni mfadhili mkubwa wa shirika hilo

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP Bi Ertharin Cousin anazuru Uholanzi kuanzia leo Jumatano kwa ajili ya mkutano maalumu na maafisa wa serikali utakaofanyika Alhamisi.

Akiwa nchini humo Bi Cousin atakutana na waziri wa masuala ya Umoja wa Ulaya na ushirikiano wa kimataifa Ben Knapen na atashiriki mjadala wa wakurugenzi wa wizara ya mambo ya nje ya Uholanzi. Taarifa zaidi na Jason Nyakundi.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)