Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua zinazopigwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango Endelevu UNDAP,nchini Tanzania

Hatua zinazopigwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango Endelevu UNDAP,nchini Tanzania

Umoja wa Mataifa kwa sasa unatekeleza mpango wa majaribio katika nchi nane barani Afrika kwa shabaya ya kuharakisha maendeleo. Mpango huo pamoja na mambo mengine pia unatupia macho maeneo ya ustawishaji wa demokrasia, ukuzaji uchumi na kusukuma mbele shughuli za kimaendeleo.

Katika makala yetu leo mwenzetu George Njogopa anamulika juhudi zinazofanywa na Shirika hili la mpango endelevu kwa sehemu ya Tanzania, ungana naye kwenye makala hii.

(PKG YA GEORGE NJOGOPA)