UNEP yakaribisha hatua ya Nigeria ya Usafishaji Mafuta Ogoniland

1 Agosti 2012

Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP limekaribisha uamuzi wa serikali ya Nigeria wa hatua kubwa ya usafishaji wa mafuta machafu ya Ogoniland kwenye jimbo la Niger Delta.

Miezi 12 iliyopita UNEP iliwasilisha tathimini yake ya uchafuzi wa mafuta Ogonland kwa Rais wa serikali ya Nigeria Goodlck Jonathan ikielezea athari kubwa za mafuta hayo kwa umma na mazingira. Tathimini ilisisutiza haja ya kuchukuliwa hatua kuzuia uchafuzi wa mafuta hayo kusambaa zaidi na kuongeza adhari ambayo tayari inawakabili watu wa Ogoni. Nick Nuttal ni msemaji wa UNEP.

(SAUTI YA NICK NUTTAL)

Na taarifa zaidi kuhusu uamuzi huo anayo Jason Nyakundi.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud