Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wito wa kutaka Kuangamizwa kwa Hadhi ya virusi vya Ugonjwa wa Sotoka yatolewa:FAO

Wito wa kutaka Kuangamizwa kwa Hadhi ya virusi vya Ugonjwa wa Sotoka yatolewa:FAO

Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO na lile la afya ya wanyama OIE yanatoa wito kwa nchi kushiriki kwenye utafiti wa kimataifa unaojumisha utafiti wa virusi vya ugonjwa wa sotoka vilivyo hai kwenye mahabara.

FAO na OIE wanashirikiana katika kuangamiza virusi hivyo hatari na bidha zingine za kibaolojia zinazohifadhiwa kwenye zaidi ya mahabara 40 kote duniani. Baadhi ya hifadhi ya virusi hivyo pia inaweza kutumiwa katika kutibu na kwenye utafiti ikiwa ugonjwa huo utaibuka tena. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)