Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Lugha ya Kiswahili iko katika Hali ya Kupoteza Uasili Wake

Lugha ya Kiswahili iko katika Hali ya Kupoteza Uasili Wake

Lugha ya kiswahili ambayo huzungumzwa vyema katika eneo la Afrika mashariki na Kati, kwa sasa inapitia katika wakati mgumu kutokana na kuzuka kwa matumizi yasiyo sahihi ambayo watumiaji wengi, hupenda kuchanganya maneno ya kiswahili na kiingereza, yaani Kiswangilishi.

Katika makala yetu leo, George Njogopa anamulika hali hiyo na hatma ya lugha yenyewe.

(MAHOJIANO NA GEORGE NJOGOPA)