Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM waelezea Umuhimu wa Afya ya Uzazi katika Siku ya Idadi ya Watu Duniani

UM waelezea Umuhimu wa Afya ya Uzazi katika Siku ya Idadi ya Watu Duniani

Katika kuadhimisha siku ya idadi ya watu duniani Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kufanyika juhudi zaidi kuwasaidia wale ambao wanahitaji zaidi fursa ya huduma ya afya ya uzazi. Akitoa ujumbe maalumu wa siku hii ambayo huadhimishwa kila mwaka Julai 11 Ban amezitaka nchi wanachama kuchukua hatua za kuziba pengo baina ya mahitaji na uwepo wa huduma ya afya ya uzazi. Alice Kariuki anaripoti.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

Nao wakaazi wa Afrika ya Mashariki wana maoni gain kuhsu siku hii ya idadi ya watu duniani?

(MAONI AFRIKA MASHARIKI)