Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yatoa misaada ya dharura kwa wahamiaji wanaorejea nyumbani kaskazini mwa Chad

IOM yatoa misaada ya dharura kwa wahamiaji wanaorejea nyumbani kaskazini mwa Chad

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM na chama cha mwezi mwekundu nchini Chad wanapeleka misaada ya dharura kwenye mji ulio kaskazini mwa nchi wa FayaLargeau ambapo tayari wahamiaji 300 wamewasili kutoka Libya siku mbili zilizopita.

 Jumbe Omari Jumbe wa Shiriko hilo anazungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa kuhusu suala hilo.