Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shirika la kupinga ukeketaji wa wasichana duniani lafanya mipango ya kumaliza suala hilo

Shirika la kupinga ukeketaji wa wasichana duniani lafanya mipango ya kumaliza suala hilo

Shirika linalopinga ukeketaji wa wasichana duniani lina mipango ya ya kumaliza suala hilo. Kulingana na Shirika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa ukeketaji wa wasichana umekuwepo tangu miaka ya chadi.

Pia kulingana na Shirika la Afya Duniani WHO ukeketaji wa wasichana uathiri sehemu za siri za wasichana bila ya manufaa yoyote ya kiafya.

Ukeketaji umetajwa kuwa na athari wakati wa kujifungua na husababisha kufa kwa mtoto. Gerry Adams wa Radio ya Umoja amezungumza la Elisabeth Wilson kuhusu shughuli za shirika hilo.

(SAUTI YA ELISABETH WILSON)