Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utafiti kuhusu ugonjwa usiojulikana waendelea nchini Cambodia

Utafiti kuhusu ugonjwa usiojulikana waendelea nchini Cambodia

Wizara ya Afya nchini Cambodia kwa ushirikiano na shirika la afya duniani WHO pamoja na washirika wengine kwa sasa wanaendesha utafiti kuhusu ugonjwa usiojulikana nchini Cambodia. L

Lengo la utafiti huo ni kubaini chanzo cha ugonjwa huo na jinsi unavyoweza kutibiwa. Hadi sasa watoto 61 kati ya 62 waliolazwa hospitalini wamekufa kutokana na ugonjwa huo . Alice Kariuki na taarifa kamili.