Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Masuala ya Wanawake yana Umuhimu Katika Mkutano wa Rio+20

Masuala ya Wanawake yana Umuhimu Katika Mkutano wa Rio+20

Makundi mbalimbali yanayojumuisha wanawake yamehudhuria mkutano wa Rio+20 uliomalizika tarehe 22 Juni nchini Brazil.

Musimbi Kanyoro kutoka Kenya ni miongoni mwa wanawake waliohudhuria mkutano huo. Akizungumza na Monica Grayely wa Radio ya UM amefananua kilichompeleka Rio kwenye Mkutano:

(MAHOJIANO