Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tatizo la wakimbizi ni kubwa na linahitaji suluhu ya kimataifa

Tatizo la wakimbizi ni kubwa na linahitaji suluhu ya kimataifa

Wiki hii dunia imeadhimisha siku ya wakimbizi duniani huku takwimu zikisema kwamba watu takriban milioni 42 wamelazimika kuhama makwao na kwenda kishi ukimbizini kwa sabnabu mbalimbali, zikiwemo vita, njaa, ukame, machafuko ya kisiasa na kadhalika.

 Kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Wakimbizi hawana uhuru wa kuchagua,Wewe unao”.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, linasema kila dakika moja ipitayo, watu wanane huacha kila kitu wanachokimiliki na kukimbilia usalama wao kwa sababu ya vita, mateso au ugaidi. Alice Kariuki ameandaa makala hii

(MAKALA NA ALICE KARIUKI)